WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club ...
KATIKA mchezo wake wa kwanza tangu Oktoba 30, mwaka jana alipokosekana kutokana na majeraha ya misuli, Paolo Banchero ...
MABOSI wa Arsenal hawana mpango wa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kumsajili straika wa Newcastle United na timu ya ...
JOSE Mourinho ana vituko sana. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kocha huyo kwenda kuzungumza na wachezaji wa timu ...
Anafuatiwa na Marcus Rashford na nahodha Bruno Fernandes kila mmoja analipwa Pauni 325,000 kwa wiki. Man United imeripotiwa ...
NATAMANI wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, ...
IMESALIA takribani miezi mitano kabla ya Vanessa Mdee kutimiza miaka mitano tangu alipoamua kukiishi kile alichozungumza ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. STRAIKA ...
BAO la Ali Khatib 'Inzaghi' limetosha kuipeleka Zanzibar Heroes fainali ya Kombea Mapinduzi 2025 baada ya timu hiyo kuibuka ...
BEKI wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk amesema ameanza kupata wasiwasi kutokana na wachezaji wenzake kuvurugwa ...
VFL BOCHUM sare yao ya bao 1-1 dhidi ya Union Berlin imegeuka na kupewa ushindi wa mabao 2-0 na mabosi wa Bundesliga.
ARSENAL imeambiwa kwamba itawagharimu zaidi ya Pauni 115 milioni kumsajili staa wa Newcastle United, Alexander Isak - ...